Information
Uwekezaji Endelevu.
Karibu tena tuendelee kujifunza kuhusu uwekezaji. Mwekezaji sio mtu anayemiliki mali pekee, bali pia ni mtu mwenye jitihada endelevu za kutafuta kumiliki mali zaidi. Ni mtu mwenye "utamaduni" wa kuwekeza. Ni mtu anayefuatilia fursa za uwekezaji muda wote, bila kujali ana kipato gani kwa wakati huo. Ukweli ni