Hasara Katika Uwekezaji (Losses in Investing)
Karibu tena katika blog yetu mpendwa msomaji. Siku ya leo tutagusia kuhusu hasara zinazoweza kupatikana katika uwekezaji, haswa upande wa masoko ya mitaji (capital markets). Tayari tuna upeo kiasi fulani juu ya mapato ya aina mbalimbali katika uwekezaji, ikiwemo gawio na ongezeko la thamani ya mtaji. Hata hivyo, sio kila