Information
Akiba Haiozi?
Leo tutajaribu kupima ukweli na tafsiri halisi ya msemo wa "akiba haiozi." Huenda huu msemo una maana tofauti na viashiria tofauti katika karne hii ya 21. Akiba ni kiasi cha pesa kinachowekwa pembeni, au nje ya matumizi, kwa malengo ya baadaye. Kuna namna nyingi za kuweka akiba kama